Tulia ww Pep ni master,,,, hii ni final unataka wakabaji wa nini ni kushambulia mwanzo mwishoHii sio kikosi cha kukaba ,ni kushambulia tu ,sasa pep sijui anataka nini ...
Huyu sterling ni poor kucheza final ni ujinga aiseee View attachment 1801692
Poleni sanaAisee why sterling anaanza kudadekiii ..
Sterling in shit kabisa ,why pep anafanya huu ujinga ...
Hii game inamtaka frenandinho + Bernardo Silva kati ,kwa kukabaa
@the blues
Wewe bwege nilikuambia fainal unafungwa Sababu umekuja hutak tuheshimu wakubwa zako sasa utaelewa mpira siyo mdomoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaa nimevomuona tu sterling guys sina amani kabisa ,....
Wacha nikaangalia dakika 90 zitaamua ...
God be with us