The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Daaa nimevomuona tu sterling guys sina amani kabisa ,....

Wacha nikaangalia dakika 90 zitaamua ...


God be with us

Team yako haina kocha ni mbabaifu tu
Final dakika 90 hamna shambulip lolote la maana kafanya
Ona Chelsea nafasi alizo tengeneza kibao
Unatumia mabilion kumfunga Watford EPL na ndiyo mwisho hapo
 
Gardiola bhana eti anacheza fainali bila "holding midfielder", sijawahi kuona. Leo amefail mapema Sana na mbinu yake hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…