hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
wataumia sana msimu ujao.Mkuu unajisikiaje kufungwa na Underdog?[emoji2957][emoji2957]
Underdog kakufunga mara tatu mfululizo unasemaje hapo?
Chelsea Chelsea
Kama Chelsea mmechukua uefa unataka sisi tufanyeje ,we don't care ,at all[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kaongea kwa hasira sana ,itamchukua Kati ya wiki 2 hadi 3 kurejea katika hali yake ya kawaida.
the blues
Kinabo unalia lia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This is football ,sio vita ,hata kama tumefungwa but pep kachukua medal na kuonesha respect ...
This is respect ...
Nashangaa watu wanaopiga kelele sijui nin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kama huwezi kuhimili this situation na kuwa positive jua wewe sio shabiki wa mpira. ..
This is our city we go again ...
View attachment 1803486
Wewe shabiki wa man city Tanzania hakuna. Sasa nyie mamluki mmetokea wapi?kwani kuna mashabiki wa Chelsea waliozaliwa 1990 wote si mmetokea Liverpool na arsenal
Mafanakio ya ze cityzen yanakutesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinabo unalia lia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...Kama Chelsea mmechukua uefa unataka sisi tufanyeje ,we don't care ,at all[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaangalia msimu ujao ,kuongeza nguvu ,kusajili na mengine ...
This is football ,
Sasa sijui mnataka nini kingine ..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...
Yaan wachezaji wote wapo na moto ...
Mtajuta kuingia uwanjan nyie madogo wa darajani ,
Man city 3- 1chelsea
Come on city
Tatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...
Yaan wachezaji wote wapo na moto ...
Mtajuta kuingia uwanjan nyie madogo wa darajani ,
Man city 3- 1chelsea
Come on city
Tumechukua PL ..Tatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...
Yaan wachezaji wote wapo na moto ...
Mtajuta kuingia uwanjan nyie madogo wa darajani ,
Man city 3- 1chelsea
Come on city
Tumechukua PL ..
Tumechukua carabao ..
Tumefika CL Final ...
Hii ni hatua kubwa tu kwa club yetu ,..
We go..
Hakuna kitu kama hiko ..
Wewe takataja man u misimu 4 katumia €530million hana hata kikombe cha plastic ...View attachment 1805395
Hela hii kwa kuchukua tu EPL ambayo hata trashes Mancin na Pellegrino walichukua?
Fukuza huyu na lete Zizu mchukue UCL