The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mafanakio ya ze cityzen yanakutesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu zote zenye mafanikio zimebeba UEFA ..hivi kati ya AstonVilla na nyie Man Shityee ipi timu yenye mafanikio zaidi? Au NottardamForrest ile ..hahahaha Man Shityee bana
 
kwani wa chelsea wapo mmehamia tu timu ilivyonunuliwa na roman
Nani amekuambia hivyo wewe!? Kabla waarabu hawajachukua hii timu kuna kombe lolote mlikuwa nalo?? Sisi Chelsea kabla ya Roman kutua tayari tulishakuwa mabingwa ligi kadhaa za nyuma uko miaka ya tisini. Nyie mambwagila mmezamia kufika vilabu vyenu vibovu vibovu uko kama arse8 na liverkuku bado mnaleta ubishi wa kujiita timu kubwa.
 
Timu zote zenye mafanikio zimebeba UEFA ..hivi kati ya AstonVilla na nyie Man Shityee ipi timu yenye mafanikio zaidi? Au NottardamForrest ile ..hahahaha Man Shityee bana
Wewe ni mbwa tu ,hata chelsea ichukue uefa ×20 ,au hata kombe la dunia haiwezi mfikia PSG au city financially ,and in football only money talk ...

City ni club kubwa ,ndio maana haihitaji uefa wala nini kupata saini ya wachezaji wakubwa kama haaland ,mess ,Kane Sancho ....

Sioni mafanikio ya Chelsea ,hata ikichukua uefa ,ni timu ya kawaida tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kila kitu mnabahatisha tu ,ndio maaba hata 2012 ,mlishia hilo hilo ,no super cup wala club world cup ,sababu kuchukua hayo makombe ni deep squad ,mnaishi kwa kubahatisha tu ..

Nothing new ..!
 
Aisee kweli kukosa UEFA kumewafanya mchanganyikiwe kiakili nyie shity fans sio kwa pumba hizi mnazoongea
 
Mkuu kama Chelsea na wengine wanabahatisha kuchukua UEFA ninyi sitizens mmeshindwa nini kubahatisha?

Sitizens bado hamna uwezo wa kubeba kombe kubwa kama UEFA champions [emoji23]
 
Mkuu kama Chelsea na wengine wanabahatisha kuchukua UEFA ninyi sitizens mmeshindwa nini kubahatisha?

Sitizens bado hamna uwezo wa kubeba kombe kubwa kama UEFA champions [emoji23]
Chelsea ni takataka tu mbele ya ze cityzen ..

City ni club kubwa tu ,whether you like or not ..

Nimeandika na sifuti ..

city is among of biggest club in Europe,haijalish tunewin CL or not ..!
 
Mkuu kama Chelsea na wengine wanabahatisha kuchukua UEFA ninyi sitizens mmeshindwa nini kubahatisha?

Sitizens bado hamna uwezo wa kubeba kombe kubwa kama UEFA champions [emoji23]
Timu ambayo haibahatishi CL huwa inabeba super cup ,club world cup ...

Sasa nyie ,huwa mbahatisha tu ,kil mtu anajua ,kwan ile Chelsea ya 2012 ni ya kuchukua cl +super cup + club world cup ?

The same to this,hakuna timu pale ,!!!
 
Hahahaha cheki hili takataka, wenzako wanabeba makombe wewe umekalia pesa tu, wewe unadhani timu kuwa vizuri financial ndo kuwa kubwa? Kuna matimu huko China yanapesa hii man Shityee ikasome.

Hahaha na bado tutawnndellea kuwabamiza tu ili muendelee kupigwa kwenye kusajili kwa gharama kubwa kubwa halafu muishie kubeba Carabao tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja tunyanyue SuperCup na Klabu Bingwa ili ufe kabisa.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Timu ambayo haibahatishi CL huwa inabeba super cup ,club world cup ...

Sasa nyie ,huwa mbahatisha tu ,kil mtu anajua ,kwan ile Chelsea ya 2012 ni ya kuchukua cl +super cup + club world cup ?

The same to this,hakuna timu pale ,!!!
Umepigwa Mara tatu bado unasema tumebahaisha?
 
Wewe mbwa unataka kombe gani sasa ???

Mbona unaonesha ujinga wako hadharani ...

PL sio kombe

Carabao sio kombe ...

Hivi timu imeyobeba makombe yote hayo bado unaibeza nini tena ...

City kila msimu inahakikisha inachukua kombe lolote ,sijui mnataka nini nyie kunguni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au unafikiki kombe ni CL tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe ni kilaza tu
 
Tukibeba supa kap na Club world Kap atasema timu bora ni ile inayobeba karabao kila mwaka🤪🤪🤪. Jamaa hakosegi sababu[emoji23][emoji23]. Ila naamini anaumia sana kwa nini sitizens haijabeba Uefa champion ligi[emoji23][emoji23]
 
Chelsea kila msimu lazima ibebe kombe. Bado unaiona wa kawaida imekuchakaza mara tatu bado unaiona wa kawaida duu 🤪🤪🤪
 
Chelsea kila msimu lazima ibebe kombe. Bado unaiona wa kawaida imekuchakaza mara tatu bado unaiona wa kawaida duu [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Pep Guardiola [emoji238]is named Premier League Manager of the Season for 2020/21, his third time winning [emoji1628]the award [emoji122]

Huyo TT atasubili sana ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…