Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hatuhitaji hio sisi ....Nyie sajilini matakataka tuje tuwagonge Tena UEFA[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unateseka mzee ...
Bado Kane ,goal machine anatua city ...
Tunataka kuhakikisha tunaburuza takataka zote za england ...
Hakuna timu itatamani kukutana na sisi ze cityzen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nan kakuambia tunashida na CL ....Lakini UCL utaisikia kwenye bomba tu.
Nyie man utd sio ndio mnamchukua sacho ,kwa iyo mnachukua mchezaji anayeenda kuflop eeeh ...!Grealish, Kane na Sancho hao wachezaji msimu ujao wa 2021/22 wataflop sana. Tunza hii comment.
Combination pekee itakayofanya kazi ni hii ya mwisho.
Huyoo halaand mnahela nyie kenge ???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Combination pekee itakayofanya kazi ni hii ya mwisho.
Hii inahusu nini wewe nyang'aoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukumbusho ni muhimu sana View attachment 1834929
Hii inahusu nini wewe nyang'aoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo tunasherekea euro banaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]