Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
kama umechezea mboko kwa ao wakina mount wew n kibonde2 ata tusiposajili mboko iko palepaleOkay ,vip Chelsea mshamsajili haaland?
Vip chiesa ?
Hakuna timu mbovu kama Chelsea kwa sasa EPL ,ni takataka tu
Mnategemea mount ,Werner ,ndio watapanda mlima wa game 38 kuchukua EPL ??????
Man city bado tuko vizuri sanaa
Anataka kuwambia kwamba ,mbinu ya ushindi ni kushambuliaBoss anataka kujibu nini hapaView attachment 1859850
Sio kwamba kufunga magoli..Anataka kuwambia kwamba ,mbinu ya ushindi ni kushambulia
Vyote kwa pamojaSio kwamba kufunga magoli..
[emoji599]| CONFIRMED: Manchester City will start 2021/22 Pre-Season with a friendly against Preston North End at the Academy Stadium on Tuesday 27th July [emoji1666][emoji736]
Ticketing information will be provided soon.