Poleni wakuu, next time mtafanya vizuri...
Damn it! Ndetchia amesha log off au anachungulia tu.. ....
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Damn it! Ndetchia amesha log off au anachungulia tu.. ....
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
man shity mwaka huu watajuwa kuwa kuna mpira na pesa Maurino amesema pesa sio mpira na Arsenal wanasema kama unataka kucheza mpira uwanja upo kazi kwao man shity watausikia ubingwa
Lescott hovyo sana yani daily linafungisha magoli sijui likoje ...hovyo kabisa
Mpe sifa bwana bila yeye usingekuwa na tabasamu.Lescott hovyo sana yani daily linafungisha magoli sijui likoje ...hovyo kabisa
City 2 - 1 Villa 64' Kolarov
Mancin akifungwa hua anagombana na managers ili kubadilisha story tusiongelee jinsi team yenye talented players kama wao wana leak magoli kama hawana akili nzuri capital one imeondoka siwaoni kupita group stages za CL coz siwaoni kushinda away to ajax so wana FA cup na PL tu. asiposhinda kitu mwaka huu anaondoka pep guardiola atakua available next year and he knows that
mboni tunauchukua tena zetu mdogomdogo tu..
naona kombe la mbuzi limeondoka