Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Mmezidiwa kila idara[emoji23][emoji23][emoji23] Na bado kunguni nyinyi.
Match imeisha?Mmezidiwa kila idara
Umeshakuwa mpole sasa.Match imeisha?
Sisi ndio the blues wewe ni takataka badoUmeshakuwa mpole sasa.
Inabidi nicheke tu.Sisi ndio the blues wewe ni takataka bado
Hongera lakini maana tushajipigia sana wewe.Inabidi nicheke tu.
Hivi kuna attempt yoyote mmefanya
Sijakataa Ila msimu huu tutawapiga nje ndaniHongera lakini maana tushajipigia sana wewe.
Pep fundi hasee,Lukaku kapigwa pini mpaka haibu, Cheese kazidiwa kila kitu,Pep kaenda kuwafundisha mpira darajani😁😄😁😀Sijakataa Ila msimu huu tutawapiga nje ndani
Sahauni....Sijakataa Ila msimu huu tutawapiga nje ndani
Tuchel kazingua toka first half... Msijikute kama ndio mmeweza.... Bado mpo kawaida sana... tumeshacheza match ngumu kuliko hii.Pep fundi hasee,Lukaku kapigwa pini mpaka haibu, Cheese kazidiwa kila kitu,Pep kaenda kuwafundisha mpira darajani[emoji16][emoji1][emoji16][emoji3]
Tushajipigia Sana nyinyi Kwa hiyo nyie ndo vilaza kwetu zaidiMimi nilisema Chelsea ni vilaza tu
Sio kufundisha tu na kuvunja daraja la Stamford bridgePep fundi hasee,Lukaku kapigwa pini mpaka haibu, Cheese kazidiwa kila kitu,Pep kaenda kuwafundisha mpira darajani[emoji16][emoji1][emoji16][emoji3]
Tatizo ni tambo zenu,eti chelsea ni anbeeten,leo mpaka aibu aseeTuchel kazingua toka first half... Msijikute kama ndio mmeweza.... Bado mpo kawaida sana... tumeshacheza match ngumu kuliko hii.