The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bernado yupo Moto !!!

Sterling miss more open chances so hata akienda sio mbaya ,though kafanya makubwa Sana ...

Sterling anapambania namba na grealish ,foden mahrez ,kupata muda wa kucheza Sana Kama anavotaka inakuwa ngumu
Amefungua milango bora
 
Cc majogoo na nyie citizen mdio tunapambana kunyanyua kwapa. Wale ndezi maji united pumzi zishakata. Chelsea wao wanajaribu kurusha miguu soon nao watakuwa wasindikizaji.
Siku zote anaezarauliwa ndiyo anayeibuka kidedea. Sisi shida yetu point tatu kila mechi hayo mengine yatajulikana mbele ya safari.

Ninachokipendea Chelsea yangu ni kwamba they know to defend very well. Tofauti na timu ingine.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo Chelsea lzm izaraulike na mahater [emoji23]Hivyohvyo tuliwaduwaza mahater uefa msimu uliopita ....walisubiri tufungwe na real Madrid na city lkn hao mpk tukabeba ndoo
 
Tatizo Chelsea lzm izaraulike na mahater [emoji23]Hivyohvyo tuliwaduwaza mahater uefa msimu uliopita ....walisubiri tufungwe na real Madrid na city lkn hao mpk tukabeba ndoo
Kwa hiyo unataka kusema ,mnaenda kuchukua epl [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chelsea soon mnaenda kupotea kabla ya January tu mtakuwa mshapoteana...
 
Tatizo Chelsea lzm izaraulike na mahater [emoji23]Hivyohvyo tuliwaduwaza mahater uefa msimu uliopita ....walisubiri tufungwe na real Madrid na city lkn hao mpk tukabeba ndoo
Mahater bado wapoo na wataendelea kuwepo,Chukua makombe yoteee tuu...
 
Cc majogoo na nyie citizen mdio tunapambana kunyanyua kwapa. Wale ndezi maji united pumzi zishakata. Chelsea wao wanajaribu kurusha miguu soon nao watakuwa wasindikizaji.
Sawa liver kuku naona unapeana hopes na hawa Shitzen.

Imagine chelsea tunacheza vibaya halafu tunapata matokeo.

Tukianza kucheza vizuri litakufa jitu.

Yule VVD watu wanavunja mguu soon. Hapo ndo mtajua hamjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…