BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Man sheet leo hamponi pepe leo kipara kitaota nywele
Man U,wamelowa nyumbani,nyumbu wanazidi kupoteana πππππAcha masihara kamanda wangu π KDB na Cancelo wameupiga mwingi, tena huyo KDB ni hatari na nusu
Passes Man u 322 - 753 Man city
Ball possession 32.3 - 67.7 Man city
Corners Man u 1 - 9 city
Ulikuaga unajifanya shabiki ndaki ndaki wa Barca.Acha masihara kamanda wangu π KDB na Cancelo wameupiga mwingi, tena huyo KDB ni hatari na nusu
Passes Man u 322 - 753 Man city
Ball possession 32.3 - 67.7 Man city
Corners Man u 1 - 9 city
Man city mpaka SasaOld Trafford View attachment 2001110
Ulikuaga unajifanya shabiki ndaki ndaki wa Barca.
Mara paaaaap... Siku hizi ule uzi umeukimbia. π π π
Man U,wamelowa nyumbani,nyumbu wanazidi kupoteana πππππ
Na crystal palace?Man city mpaka Sasa
Tumeshawafunga ...
Chelsea
Lecister city
Arsenal
Man utd
Draw na Liverpool
Timu zote kubwa tumepata point .....
Crystal palace sio timu kubwa,ilituotea ....Na crystal palace?