The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna vitu vingine huwezi kuiga .....

Imagine pep anachezesha namba 10 wawili .....


Yaan bernado na kdb wote wanacheza namba 10 na tuna win ....juzi pablo wakati anacheza na mbeya kwanza niliona anajaribu huo mfumo kidogo apasuke .....
 
Kuna vitu vingine huwezi kuiga .....

Imagine pep anachezesha namba 10 wawili .....


Yaan bernado na kdb wote wanacheza namba 10 na tuna win ....juzi pablo wakati anacheza na mbeya kwanza niliona anajaribu huo mfumo kidogo apasuke .....
Hahaha
 
KDB is back ..


Foden is back ...

Jack is back ....

This December kila baada ya siku tatu ni game ,and pep anaonesha yupo serious na kunakitu anataka kufanya this season ....

Tuna nafasi kubwa Sana ya kubeba epl kabisa this season .....

Chelsea majuruhi ya key players wao yanawasumbua nzuri zaidi Mendy na yeye ataondoka kwenda afcon [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]...

Liverpool kuondoka kwa Salah na mane kwenda afcon ni advantage kwetu ...but itategemea fixture yao Kama itakuwa ngumu we have to take that advantage ........


This is our city
 
Leo nimefuatilia mazoezi ....

Vijana wapo Moto hatari ,we are attacking the title guys ,this year we are going to make 8th league cup ,two consecutively pep yupo serious .....


The next is watford .....

Come on city
View attachment 2031607
 
Huu utopolo umeanzishwa 2009πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Oyah!...eti nasikia mmejamba leo kule LONDON ivi ni kweli mzee?, nyie jikausheni tu lakini habari zenu tunazo mmejambia london lakini ushuzi wenu hadi uku TZ umefika...pole kijana hii ndo EPL ngoma ya kitoto haikeshi...ngoja huone namna Mr. KIPARA anavyoenda tulia pale juu muanze kumfukuza kwa tochi mchana kweupe...Dah!
 
Wenye kiti tushakikalia sasa, nani anasema nyenyenye.
Ubarikiwe sana West ham
 
Watuletee yeyote hapa[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…