The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Yaani wewe mwenyewe unajificha nyuma ya VAR ila ndani ya moyo wako unajua ile sio PENALTY. au VAR ndio ilishika ule mpira?
city hawakuw na tatizo ata kama lile tuta lisingefunikwa GOLI LINGEPATIKANA TU!...Amini hivyo maana si kwa kutafutwa kule ile ilikuwa one-side game ata kabla ya hilo tuta with #TotalDOMINATION, wee huoni kipa wao kasave ngapi apo.

 
Mkuu achana nae huyu ana stress hajui hata mpira huyu .......

Katika watu wote walikuwepo uwanjan hawakuona ....yeye tu kwenye kibanda umiza huko anasema sio penalty ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
na hicho ndo kinachowaumiza fans wao maana walitegemea city atoe ata draw ili wakikamilisha match zao wamkute kama sio kumpita kabisa.
Sasa wanateseka huko hatarii .....

Kuna shabiki mmoja wa Chelsea tulikuwa nae ,akasema ile sio red card .[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nikaona huyu kinachomsumbua ni stress tu
 
Bosi. Mpira umeisha alafu unaniambia NIAMINI? Nani aliwazuia kufunga hilo/zo goli?
 
hivi kumbe unaweza kuwa na timu nzuri lakini mashabiki wakawa hawajielewi?
 
hivi kumbe unaweza kuwa na timu nzuri lakini mashabiki wakawa hawajielewi?
ile ni handball kama huna hoja za msingi za kuongea kaa kwa kutulia ....sema sababu za msingi kwanini sio penalty ....

Sio unakuja na mihemko yako "Mimi na sema sio penalty" unaonekana wewe ndio kilaza tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Leta hoja kwanini sio penalty
 
Wolves walikuwa vizuri kweli kweli kwa kuzuia ...


Wamepata red card bado wamejiamin na kujaribu kutushambulia ....


ilikuwa ngumu sanaa kuwafungua aisee ...

But ,the important things is 3 point ....top of the table ...


We go
 
well, kama umeangalia mpira, baada ya mpira maanalysts wamemuuliza lefa mstaafu juu ya hiyo penalty na jibu lake ni. NO.
Na sipendi kutumia inferences za watu wengine, mimi mwenyewe nathibitisha ile SIO PENALTY, nathibitisha pia mlipaswa kushindwa ila ILE PENALTY haithibitishi chance kubwa za kushinda mlizokuwa nazo sababu ILE SIO PENALTY.
 
We ni kenge sana, huwa unaanza kutusi wenzako ukiona umezidiwa unakimbilia polisi. Sasa unaita mods wa nn wakati we mwenyewe unatoa mitusi, acha unyasa we kolo.

Ukizidiwa tulia sio kuita hao vilandege wenzako, kenge ww.
Mods huyu mwingine ananifokea Mimi ....

Naomba apigwe ban ...hatuwezi kuendelea kuvumilia vijana wa namna hii kwenye jamii yetu
 
tunaua mtu pale etihad....Mhhh!...sio kwa dhahama ile na record imewekwa leeds tokea arudi ligi kuu misimu ya karibuni hajawai pigwa 7....THIS IS CITY!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…