The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man City wanajitafutia matatizo, ilitakiwa mpaka HT wawe tayari na goli ili kuwapunguza kasi Dortmund; vinginevyo Second Half hali itakuwa mbaya.
 
Man City wanajitafutia matatizo, ilitakiwa mpaka HT wawe tayari na goli ili kuwapunguza kasi Dortmund; vinginevyo Second Half hali itakuwa mbaya.

yaani hapo sijui sub itakuwaje kutunusuru nyumbani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…