Magoli yake ya mbali aisee yanarudi Sasa ,...lile goli lake la pili ndio magoli tumeyoyamiss kutoka kwakeKDB was named Man Of The Match, In our 7th BALLAD against LEEDS UNITED...Hope ata maintain, japo injury zinamwandama kwasasa.
View attachment 2047683
Huyo ndo #SuperKEVIN...#SuperKEVIN huwa anatuoffer vitu viwili tu kwenye match kama sio #MasterCLASS basi #PureCLASS performance!Magoli yake ya mbali aisee yanarudi Sasa ,...lile goli lake la pili ndio magoli tumeyoyamiss kutoka kwake
A TOTAL DOMINANT PERFORMANCE....What a CleanSheet for the #CityBOYZ!!!Waletee Newcastle ...
Here geo
Kocha anaitwa Tuchelewe, na anawechelesha kweli wazee wa kikosi kipana.Timu la mchongo
Hivi unajisikiaje uzi wote unacomment peke yako?Kama tukiwafunga lisbon na buyern akamfunga sulzburg ......
Basi sis man city tunaenda kukutana na buyern Munich live bila kupepesa macho ...[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Sasa tatizo lipo wapi mkuuHivi unajisikiaje uzi wote unacomment peke yako?
Kwamba tatizo hulioni?Sasa tatizo lipo wapi mkuu