The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ila City mmejifikilia nini kumuweka huyo kipa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si kwamba nayeye aliamini Klopp atapumzisha Wachezaji kwasababu ya game na Man United?

Sidhani kama Klopp anaweza kupumzisha Mchezaji yoyote kwasababu ya EPL hii iliyopo anayoongoza Man City.
Pep muuni, technique zake TU.Ndo maana kina Kdb na kina Marhez wako benchi.
 
Ila hii ni game lolote laweza tokea tusikate tamaa maana hata wao naona wanahofu na sisi pia
 
Fa nalo ni kombe Sasa ...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


Hili kombe wacha liende tu
 
Hii game kama vile wachezaji wamemgomea Pep na wanacheza kukamilisha ratiba ....kashawambia labda tufocus na epl
 
Game imeisha hii! Kwa tabu na kupania ikiwa atawaingiza wachezaji wake wote basi itaishia 2 - 3
Kiufupi hakuna sub Wala Nini ,hii game wasipoimaliza wao itakuwa imeisha hivo .....Wala hii game inaonekana pep Hana mzuka nayo ....wacha Liverpool waende final ,wakutane na Chelsea .....maana chelsea anaweza kutoka hewa msimu huu
 
Kwa mawazo yangu sioni hata haja ya kufanya sub awaache tu hata wakipigwa 7.yaani huyu steffen huyu jinga sana likiwekwa benchi lawama kibao yaani leo nimelichukia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…