The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Si huyuhuyu alikuwa akikatiza kwenye majukwaa ya watu? Saivi kunamaisha nje ya mpira tena? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tena alikuwa akikata Viuno kwelikweli kuturingishia wowowo eti Benzema halipati 😝😝
Sasa hivi anatia huruma kama Ollachuga 😂😂
 
Sasa Chelsea tunafanana nae? Yeye anazo 2 sisi je?
Yaan had Aston Villa hatufanan nae, city inatuumiza sana watu wake, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Huu ndio ukweli

Wewe ndio unaukubali ukweli wengine wanakaza fuvu humu[emoji2]
 
Hii timu ya daraja la Kwanza ina mbwembwe Sana , unafungwaje magoli matatu ndani ya dk tano , ??? Huku Una kikosi cha paundi billion na ushehe , alaf nyumban unaruhusu vip magoli matatu .... Bado haiingii akilini
 
Kwani Westham umemzidi nini kwa mfano?

Westham = 0 UCL [emoji41][emoji41]
Man City = 0 UCL [emoji23][emoji23]

Nyote ni mediocre tu underdog wa Ulaya [emoji13][emoji13][emoji13]
Bas sawaaa haya Relaaaaaax.
 
Timu inapigwa goli 6 kwenye Nusu fainali (3 home na 3 away) bado Mashabiki wake wanaamini wamefungwa kwa bahati mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mashabiki wa hii Timu akili zao ni kama ZeruZeru wa Jangwani tu [emoji13]
 
Like kwa Man City, quote kwa Ng'ombe wa Mayele [emoji23][emoji23]
 
Alisikika Panyarodi: Real Madrid tunamfunga mapema sana, kwanza haiwezi Pressing yetu, Buildup yetu itamshinda, Man City anacheza Possession football ambayo haitampa nafasi Real.

Benzema: Oya muhudumu nipe Mkuyati bakuli moja, Kongoro bakuli mbili, weka na Vikombe Vitatu vya Alkasusu, nimegee na Vumbi la Kongo la Buku nipe na Vaselline ya Buku Jero halafu leta Taulo 2 na Mito miwili chumba namba 6 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2213604
Walker alikuwa hajarudi kwenye hali yake ,seems like alipigwa sindano za kutosha ili achezw hio game kwani kila mtu alitamani kumuona [emoji53]...

Alifanya kazi yeke vzuri pamoja na yote ..!!

Moja kati ya RB wenye nguvu na mbio city ,

We win together,we lose to together,get well soon. ..!
 
Lakin hamkujitapa mnakikosi kipana?
 
Inauma ila ndo hivyo tunavumilia tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] UCL na EPL tunachukua, sindio mlitamba hivyo? Yaani mimi kama Shabiki wa Liverpool tusipo chukua UCL ila tutapambana ili tuchukue na hatuna majigambo kama nyinyi. Yaani huwa nafurahi Man city akiteseka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unautani na Pain killer sasa, huo ni utani wa ngumi.
 
£100m Jack Grealish has combined 8 goals/assists this season - just 85 fewer than Liverpool’s £100m octet Taki Minamino, Andy Robertson, Divock Origi, James Milner, Mo Salah, Sadio Mane, Joel Matip and Kostas Tsimikas

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We nae khaaah, tumefika final mara 2 mfululizo, now tumeishia semi ndo hatuwezi?
Hatuna bahati na UEFA. Nwei mkapambane nyie wenzetu mnaojifanya mnaweza sana.
Hamjawahi kuingia final mbili mfululizo ni Moja tu na mkapigwa na hii ni "nusu fainali" yenu ya tatu tangu Shekh anainunue hii timu.
 
@kevindebruyne and @dejesusoficial have been nominated for April’s @premierleague Player of the Month award!
 
Pep Guardiola has been shortlisted for April’s @premierleague Manager of the Month award [emoji94]
 
Tunawahitaji haters wengi kama nyie karibuni Sana [emoji28]

Tunataka wengine zaidi
 
Hamjawahi kuingia final mbili mfululizo ni Moja tu na mkapigwa na hii ni "nusu fainali" yenu ya tatu tangu Shekh anainunue hii timu.
Lazima tucheze final nyingi Sana ili tuwin CL 1 ,Mimi binafsi nashangaa watu wanavosikitika kama wanataka kujiua kisa semi final kutolewa ,moment kama hzi kwenye football Tena zaidi ya hizi zinapitiwa Sana na club kubwa zote dunian ...

Kloop katinga final 3 CL lakin kawin 1 mpaka Sasa ,ulishawaza maumivu ya kukosa hizo mbili ?

Unajua maumivu ya liverkuku kukosa final 2018 kisa karius ? Hapa Kuna mtu alijinyonga kabisa [emoji28]

Unajua maumivu ya Barcelona kupigwa comeback ya 3-0 na liverkuku ?

Kuna moment kibao tu za football, kama unafuatlia mpira kitu kama hicho sio cha kukaa na kulialia [emoji23] tofauti na hapo labda ushabikie mieleka [emoji23]

Ze cityzen we have to move on , focus in PL ,...! it's over

We go ...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…