Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Katika timu ukizotaja hapo juu umeiona arsenal ?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
This is Manchester city baby [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Siku zinakuja na utakiri kwa kinywa chako kuwa "Manchester city ni bwana na mwokozi wa maisha yako "
Biggest club in the world
Shabiki la arsenal limelovaa jezi ya Liverpool [emoji28][emoji28]Biggest Club in the World [emoji2788][emoji350]
89'
Real Madrid 0 - 1 Man City
95'
Real Madrid 3 - 1 Man City
Don Carlo: Get the hell out of this you little kid
Pep [emoji116][emoji116]: [emoji23][emoji23]
View attachment 2214431
Wee nae vipi khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] UCL na EPL tunachukua, sindio mlitamba hivyo? Yaani mimi kama Shabiki wa Liverpool tusipo chukua UCL ila tutapambana ili tuchukue na hatuna majigambo kama nyinyi. Yaani huwa nafurahi Man city akiteseka [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sawaaah.Hamjawahi kuingia final mbili mfululizo ni Moja tu na mkapigwa na hii ni "nusu fainali" yenu ya tatu tangu Shekh anainunue hii timu.
Sijaamini kabisa kilichotupata kweli ushirikina upo.
The @easportsfifa @premierleague Team of the Season has been revealed, with 5 City players making the squad! [emoji91] View attachment 2214814
Hiyo comment wapelekee liverpool mzee ndio daily wanajitapa quadruble [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]From Quadruple hadi singluple?
Man City mmeishiwa sana aisee
Wewe ni shabiki wa Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umeamua kujiandikia comment mapema kabisa kuwa mnatamba quadruble kila siku lakini mtaambulua carabao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]From Quadruple hadi singluple?
Man City mmeishiwa sana aisee
Wewe ni shabiki wa Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umeamua kujiandikia comment mapema kabisa kuwa mnatamba quadruble kila siku lakini mtaambulua carabao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Hiyo comment wapelekee liverpool mzee ndio daily wanajitapa quadruble [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usiwe fala hakuna mahali city ilikuwa inagombania makombe manne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] This is [emoji239]UCL tayari
Carabao tayari
Sasa ni EPL na tuna uhakika 90% sasa kulichukua sababu nyie wachezaji wako ‘they have no legs’
Nadhani quadruple itatimia
Mshajitangaza kwenye vyombo vya habari mnataka quadruple [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]may 28 sio mbali ,nitakuja munioneshe hizo quadruple [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]UCL tayari
Carabao tayari
Sasa ni EPL na tuna uhakika 90% sasa kulichukua sababu nyie wachezaji wako ‘they have no legs’
Nadhani quadruple itatimia
Dunia nzima inajua liverpool mshazunguka kwenye vyombo vya habari kutangaza quadruble .Tazama huyu mbulula! Kwahiyo hamujashindana kwenye 1) Carabao, 2) FA, 3) UCL na 4) EPL?
Wewe kweli Mwehu.
Wewe shabiki la arsenal tushakujua ,vua hio shati ya liverkuku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tazama huyu mbulula! Kwahiyo hamujashindana kwenye 1) Carabao, 2) FA, 3) UCL na 4) EPL?
Wewe kweli Mwehu.