The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kweli semi final uefa ndio ya kulialiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Moment kama hizi kwenye football ni za kawaida vinginevyo labda ukashabikie mieleka [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajifariji
 
Du grealish akiwa uwanjani city anakua kama ana red card vile, pep inatakiwa awe serious sometimes, hakuna haja ya kumuweka foden na mahrez nje
Sterling nae kashakua mdebwedo, all in all tushinde game yetu
 
Du grealish akiwa uwanjani city anakua kama ana red card vile, pep inatakiwa awe serious sometimes, hakuna haja ya kumuweka foden na mahrez nje
Sterling nae kashakua mdebwedo, all in all tushinde game yetu
Grealish nikimuona uwanjan naomba hata asipewe mpira kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Liverpool ili wakae pale juu sio kushinda tu ila wanatakiwa kumfunga villa goli 4+ [emoji23]
 
Tukiwa full squad kabisa ,hakuna majeruhi ,hakuna mtu atakayekatiza kwa hizi game tatu zilizobaki walahi ...

Vs wolves

Vs westham

Vs astonvilla

Kwanza hapo kwa westham tunaweza kutangaza ubingwa [emoji28]
 
Tatizo la grealish kupoza mashambulizi likipona atakuwa mchezaji wa maana sana ,tatizo kijana hajiamini spidi anayo lakini creativity ya kuanzisha mashambulizi hana instead anapunuza shambulizi ,

in a nutshell leo kajitahidi
De bruyne katumia nguvu sana ,kajitahidi kufanya pressing ,kudos to him
All in all tumeshinda game yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…