The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kudadeki,mmeponea chupuchupu, tungewaliza leo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii epl ni nyepesi Sana kama unavuka barabara[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Pep December 2017 ," ligi ya uingereza ni nyepesi Sana kama kuvuka barabara za UK "
 
Oyaaa liverpool mliyemtuma tumemumangua na kumshindilia goli 3[emoji28]
 
Gerrard+ FC + INGS wote walitumwa na Liverpool wakakutana na moto wa pep ,tumewachalaza bakora wametoka etihadi ndukiii [emoji28][emoji28][emoji28]

Chezea pep wewe ...


Hili kombe la epl tutaendelea kulinyanyasa mpaka iwe Farmer league
 
Hapa najiuliza hawa kuku wangechukua hii ndoo sijui tungeweka wapi sura zetu England dah!acha tuzidi kuwa wenye furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…