The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

This Proof Winning EPL ni failure kwa PEP hahahaView attachment 2237910
Siki zote manager anayeshinda PL ndio anakuwa manager of these season ....huyo kloop kaonewa huruma tu kajiingiza kwenye Marathon ambazo hawezi Sasa wameamua kumpoza maana alikutana na unyama unyamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninaziona dalili zote za kumvuruga kisaikojia Pep ili aondoke England maana kaonekana kuwa mtesaji wa makocha wezake kwa kuendelea kutwaa makombe ya Epl kwa wepesi tu ndio maana wamediliki kumpa klop sifa isiyo yake kabisa.
 
Siku zote Liverpool anacheza Europa league [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leo anataka kuchukua uefa fala sanaaa
 
Siku zote Liverpool anacheza Europa league [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leo anataka kuchukua uefa fala sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…