The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Neymar anakuja City aisee
Neymar wamereject offer yake ,japo walitaka kutuuzia ...inaonekan pep kaona hawezi kufaa kwenye mfumo wake ....

Pep hapendi uungu mtu ,ndio maana Hana proper starting XI huwezi kuijua ....

Saizi kauza sterling ,Jesus ,na zincheko Wala hahofii kitu Kwan tayari anamfumo ..

Hakuna mwaka ambao uliniuma Kama kumuacha sane aende buyern ,aguero kuondoka Barcelona lakin huwezi amini ni Kama hakuna kitu kilichotokea ...moto uliendelea vile vile ..

Kwa hiyo Neymar kuja city aliona ataleta u Mungu mtu ,kutaka kuwa juu zaidi ya club kitu ambacho pep asingeweza kukubali ...

Kama ni mawinger tunao wengi sana ...
 
Neymar ashaisha huyo
 
Kusema kweli hapa tusipopata mbadala wa walker ,yaani tuanenda tutajuta kuanza msimu ...

Baada ya zincheko kuondoka haraka sana RB back up ya walker inahitajika ,la sivyo hata top 4 tunaweza kuikosa walahi [emoji23][emoji24]

Nikikumbuka tulivohangaika uefa na kumalizia game za epl kisa walker hayupo fit ilikuwa maumivu aisee .. frenandihno alipewa majukumu ya RB lakini alipuyanga hatari ...

Game ya westham 2-2 ambayo iliongeza pressure kwetu kuchukua epl ,Yale magoli yote ilikuwa ni mistake za kukosa RB ...game ya uefa na Madrid kina Vinn walichukulia point upande wa RB ambapo frenandihno alipigwa tobo Hadi kusababisha goli ...

Hapa cucurella anatakiwa kutua mapema ,walker akipata injury tu basi tutasuffer ....
 
MATCH DAY ..

Man city VS club America

Muda saa 03:30 usiku

Hii game si ya kukosa ,club America sio mchezo ,niliangalia game yao na Chelsea,Chelsea walihaso kupata matokeo na isingekuwa individual skills za mount wangetoka draw ,wanakabia juu na wapo solid kweli kweli ...
 
Ndo ukweli ulivyo jamaa niwazuri na hii ndo itatupa picha halisi ya game yetu ya ufunguzi na kuku wa klop.
 
Kdb 2- 1club America ..

Bado ake hajazoea one Vs one ,kachomesha goli ..

Mbete kashaaminiwa na pep Kama CB na anacheza poa

Grealish bado sana aisee ,sioni Kama ameimprove ..

HT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…