The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kama kawaida ake ni majanga....


Foden anatakiwa kuingia grealish atoke kabla hatujapoteza hii game ...
 
Ake out in stone ...


Grealish out in foden ....

Mahrez sijui miguuni Hana nguvu ,anafika ndani ya box anapiga shoot la mtoto wa chekechekea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kdb hayupo kwenye form ....


HT 1 -0 down
 
na hata Halaand anatakiwa atoke tu anafanya timu imekosa balance
Atoke haaland aingie Alvarez ,? Maana hii game ni ngumu haaland ana experience kidogo kuliko Alvarez ...halaand akitoka maana yake gundo aingie bernardo Silva acheze Kama false nine ,kitu ambacho Liverpool watatumaliza mapema
 
Mlikuwa mnamcheka usajili wa Nunez leo hii mnataka Halland atoke wakati huo ni usajili mlio ufanya wenyewe na mashabiki mkafurahia [emoji23][emoji23][emoji849]
Hatujutii usajili wa haaland ni kwamba tu gem imemkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…