Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Mumepoteza mkuuuKama kawaida ake ni majanga....
Foden anatakiwa kuingia grealish atoke kabla hatujapoteza hii game ...
Umechakazwa wewe. [emoji1787][emoji1787]Leo ngj tuwachakaze Hawa majogoo.
Mmewanyoosha sio? Nani aliwaambia mumuuze Jesus?Leo ngj tuwachakaze Hawa majogoo.
Mmewanyoosha sio? Nani aliwaambia mumuuze Jesus?Leo ngj tuwachakaze Hawa majogoo.
Naona tumejutaLeo Hawa Liverpool watajuta kuleta timu yao uwanjan [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Jesus angefanya nin leoMmewanyoosha sio? Nani aliwaambia mumuuze Jesus?
Nunuz kutufunga na kuvua shati alimaanisha Nini Sasa ,au anafikili like sahani ni uefa [emoji23]Man-shit kwishinei babuji mmetiwa kitu kigumu nyuma[emoji16][emoji16]
Sielewi cjui shida ni mfumoo.?!!Daaa tumefingwa kihalali kabisa ...
Hatuna sold defence ...
Mpumbav 2 huyo...hakutegemea kutufungaNunuz kutufunga na kuvua shati alimaanisha Nini Sasa ,au anafikili like sahani ni uefa [emoji23]
Mwangu mwenyewe allypipi za siku nyingi sda tunarud EPLMan-shit kwishinei babuji mmetiwa kitu kigumu nyuma[emoji16][emoji16]
Mkuu Mimi kwa kweli nikimuona ake kwenye game ngumu Kama hizi napata hasira kichizi ,kwa sababu jamaa sio solid defence,makosa yake kwanza ni mfupi ,harafu Hana timing nzuri .....Japo mimi siipendi city, ila kocha kazingua pakubwa kupanga kikosi.
Ake, Jack Pemba, Halland na Mahrez hawakutakiwa kucheza mechi ya kiume kama hii, badala yake angeanza na Stones, Phoden, Gundogun na Rodri.
Alitakiwa safu ya mbele kuwe na Silva, KDB, Phoden.
Kati weka Gundo, Rodri na Kelvin.
Nyuma weka Stones badala ya Bob Marley Ake.
Hapa ushindani ungeongezeka kuliko alivyochagua kuchezesha miguu ya kushoto kibao na Jack mcheza na jukwaa pekee huku madhara yake ni zero.
Mkuu kuchezesha haaland na Alvarez na matatizi ,hapa pep kazingua , katikati tulikuwa hovyo ,rodri ,gundo walipwaya wote ...Sielewi cjui shida ni mfumoo.?!!