The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Arsenal tuna plan ya kushinda game 32 na sare sita. Pts 102.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo games 32 labda za kwenye play station.
Nyie baada ya mechi mbili zinazofata mnaanza kuchezea kichapo cha mfululizo.
 
Pep sijui anakwama wapi kufanya sub ,foden kachoka lakin bado yumo tu .....

Bernado alikuwa kachoka Tena....

Mahrez ,Alvarez walitakiwa kuingia dakika za 80 .....


Next week tuko na crystal palace mbwa waleeee ....

Kabla ya palace tutacheza na Barcelona charity game camp Nou jumatano .....
 
League bado ngumu but pep anatakiwa kubadilika ...kufanya sub mapema ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…