The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nyie vibonde wa nyumbu na Leo mpakatwe tena bin waheeed nyie [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo mkuu...nyumbu game kubwa huwa wanatabia ya kukaza sana maana wew jiulize kwa ule moto wa arsenal aliompelekea Spurz jana United kawafunga vip?....

so tusijiamini sana kikubwa pep awajenge vijana vizur kisaikolojia then wafanye kazi yao.
Yeah mechi ni ngumu ila siioni nafasi ya united Leo....cha muhimu ni kuwaheshimu tu na kushambulia kwa nidhamu tusiache mapengo nyuma...
 
Timu zozote ndogo lazima zifurahie kufunga timu kubwa.
Hhh!...unataka kusem Mshafungwa tayar ama?...

But Haaland anakusalimia akiwa na kaka yenu bwana Garneville moja kwa moja kutokea ETIHAD STADIUM!!!.
 
Mtu wa kumwanagalia ni rashford ,huyu jamaa kwa counter attack yupo vzuriii



Huku nyuma akanj na ake wawe vzuri kweli kweli ....
 
Hapa united watakachofanya ni kukomaa na haaland ,maana wapo tayari kufia uwanjan ila sio haaland awafunge [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa ake na akanji walishawahi kucheza game kubwa kweli yenye pressure na Waka deliver [emoji23][emoji23],dias , Laporte,Hawa ni vyuma walishazizoea game ngumu .....

Leo kazi ipo ...
 
Nyumbu watawafumua marinda nyie manjestaa boys. Hamna timu humu ni takataka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…