The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep hapa. Kwa grielish anazingua kinoma ..kwanini asianze mahrez
 
Leo haaland akifunga atakuwa mwanaume maana Yale maneno yake ,timu nzima Leo inaenda kumkamia mpaka kucha [emoji23] hii ni nafasi Bernado ,kdb kuwafunga united ....
 
Ila hii game naona ilikua ya mahrez kabisaa..basis bana maybe grielish atatuprove wrong
 
Hii injury ya rodri imekua surprise asee
Kucheza game Kama hii bila kuwa na DM ni hatari mkuu ,hapa kina eriksen na MC watatu outsmart mapema sana ....mbio za rashford ni za kuaangalia sana ...

Najua watatuacha tucheze possession football huku wao wakisubili counter attack ....
 
Leo haaland akifunga atakuwa mwanaume maana Yale maneno yake ,timu nzima Leo inaenda kumkamia mpaka kucha [emoji23] hii ni nafasi Bernado ,kdb kuwafunga united ....
Mnyama foden anamaliza kazi...ndo mambo yake haya
 
Mashabiki wa Man u wanaondoka kwa hasira. Hii ni disaster. Wamekosa uvumilivu.

Naanza kusikia huruma. Huyu Halaand ni li jini kubwa sana, a big Big mamywater
 
Mpira ni akili aisee ....

Hawa nyumbu tunawachapa goli 4 huku tumerelax bila hata kukimbiakimbia hovyo ...

Pigwaaa chuma nne Kama wamesimama ...

Mpaka nilikuwa nawaza hivi Hawa nyumbu walifanya mazoezi kweli kuja kucheza mpira maana Hadi huruma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa nyumbu tumewagonga mpaka wao wenyewe wanajuta kuingia uwanjan ,kiufupi wanakimbiaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…