The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu refa asituharibie mchapo maana ana sifa hiyo kama sikosei huyu ndiye alisimamia mechi ya MANU na Chelsea na wachezaji wan MANCY wakamlalamika sana kuhusu maamuzi yake.
 
Rooney again MANU 2 MANCY 0 dakika ya 28
 
Dakika 4 kabla ya HT MANU bado wanaongoza 2-0
 
ikifika half time man city hawajapata goli ndio imetoka lazima wapate goli either few mnts after au ndio hivyo
 
Kuna fujo uwanjani kuna kitu kimerushwa na shabiki wa MANCY kimempiga usoni/kichwani Ferdinand anatoka damu.
 
FT 3-2 Hongereni wapenzi na mashabiki wa MANU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…