Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Mkuu itakuwa wewe ni mgeni kufuatilia game za city ....Daah liva wametukaangà
Klopp alikuwa hataki utani hadi na yeye kalimwa red cardMkuu itakuwa wewe ni mgeni kufuatilia game za city ....
ila Mimi nilishasema pep hamuwezi klop never .....
Hata mwaka jana tungemfunga Madrid tukakutana na Liverpool final basi Liverpool walikuwa wanachukua kombe mapema ....nilisema Bora tumetoka mapema ..
Pep kwa klopp amekuwa Hana ujanja Tena ....Kama game ni seriously
Tatizo ni lile lile hatuna fighting spirit kwenye must win game ....
Nitakuwa wamwisho kuamin kuwa pep anaweza kutupa CL ....
Wacha tu atuongezee makombe ya PL ila kuhusu CL lazima uwe na killing machine & spirit ..
Liverpool ambayo imepigwa na arsenal goli 3 ,napol kajipigia goli 4 tumeshindwa kupata hata goli moja ...
Harafu next time mapundit unakuta wanaipa favorite Tena city kuwin CL, aiseeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani Kuku anakideri mgonjwa afu bado anakudonoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli nyie matakataka mumetia aibu sana.
Mkuu this time hata EPL hamlambi , kuna wahuni wengi akina konte pale wazee wa kunyapia pia , nakuhakikishia kabla ya December watakuwa wamemvunja mguu halaand 😁😁😁😁😁Tatizo ni lile lile hatuna fighting spirit kwenye must win game ....
Nitakuwa wamwisho kuamin kuwa pep anaweza kutupa CL ....
Wacha tu atuongezee makombe ya PL ila kuhusu CL lazima uwe na killing machine & spirit ..
Liverpool ambayo imepigwa na arsenal goli 3 ,napol kajipigia goli 4 tumeshindwa kupata hata goli moja ...
Harafu next time mapundit unakuta wanaipa favorite Tena city kuwin CL, aiseeee
Favorite za kijinga tu ,game nne zote hatujawahi kumfunga Liverpool bado et watu na booking wa kwenye betting wanamuamin city,Mambo mengine naona Kama ni mind game kuwala watu .....Mimi nishaangalia game nying za Liverpool na sis ,huwa hatujawahi kumumiliki kisawa sawa mpaka awe underdog tukikutana [emoji23]Pole sana. Mpira ni karata. Liver wamechanga karata vyema, akaingia uwanjani kama underdog kwani hakupewa nafasi yoyote ya kushinda. Ninyi mlilewa sifa baada ya kupewa nafasi kubwa ya kushinda.
Juzi nilisema liver anaenda kuwafunga lakini mlinitukana na kunibeza.
Chelsea forever. Always blue[emoji485]
Hiyo Mimi hainisumbui mzee ,timu yenye ushindan kwetu ni Liverpool,hao kina Chelsea ,man u ,arsenal huwa tukichanga karata zetu tunawapaga kipigo nje ndani na kuondoka na point 6 safii kabisa ....Mkuu this time hata EPL hamlambi , kuna wahuni wengi akina konte pale wazee wa kunyapia pia , nakuhakikishia kabla ya December watakuwa wamemvunja mguu halaand [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbwembwe zote kumbe unatuogopaFavorite za kijinga tu ,game nne zote hatujawahi kumfunga Liverpool bado et watu na booking wa kwenye betting wanamuamin city,Mambo mengine naona Kama ni mind game kuwala watu .....Mimi nishaangalia game nying za Liverpool na sis ,huwa hatujawahi kumumiliki kisawa sawa mpaka awe underdog tukikutana [emoji23]
Any way next game vs Brighton ....
Wewe Leo ndo unaonekana..Siku zote timu lako linakandwa huko umejificha mashimoni. Leo kipofu kaona mwezi ndo unaibuka.....jiandae kurudi tena mashimoniMbwembwe zote kumbe unatuogopa
Sisi ndo Liver [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mnyama mkali
Tumecheza vzuri ,ni vile tu cancelo katuchoma ...Leo akanji alikua hajatulia kabisa pale nyuma
Uko nafasi ya ngapi ,au mafanikio yako msimu huu ni kumfunga man city tu [emoji23][emoji23]Mbwembwe zote kumbe unatuogopa
Sisi ndo Liver [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mnyama mkali
Kwa Messi kaongea UKWELI,Journalist: “When you coached Messi you expected him to score in every game, do you have the same feeling now with Haaland?”
Pep Guardiola: "Yes! The difference is that Haaland needs all his teammates to do it. Messi had the ability to do it alone"
Wakati city wakimlipa haaland euro 900,000 per week, Liver walkua wanamlipa mane euro 80,000 per week[emoji848]Aisee!...kumbe kijana anapewa donge nono la mshahara pale City, lakini uzuri ni kwamba anaitendea haki iyo pesa anayolipwa.
View attachment 2382550
Haijalishi tulipoUko nafasi ya ngapi ,au mafanikio yako msimu huu ni kumfunga man city tu [emoji23][emoji23]
Tulieni dawa iingieWewe Leo ndo unaonekana..Siku zote timu lako linakandwa huko umejificha mashimoni. Leo kipofu kaona mwezi ndo unaibuka.....jiandae kurudi tena mashimoni