Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Niliwaambia lkn Mama cita upara fc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brentford tuna jambo letu leo hatutawaangusha tunataka HAALAND acheze hatutak visingizio tutapiga pale kwenye upara wa guadiola mpka awe rastafarian
IVAN TONEY man of the match [emoji91][emoji91][emoji91]
Ivan Toney 2 man city 1Nipe matokeo
Muda upi huo ww upara fc mmesokomezwa migobole 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda unayoyoma ngoma bado ngumu
Hakuna wa kupigwa hapa.....tuna bounce back
Hii timu hii wakubwa karibu wote wamekufa Haina Cha home Wala away
Arsenal ni watoto tu giant england ni Man u , liver, chelsea na city😀😀😀Uwe na adabu, Arsenal alipiga 3 takatifu
Arsenal ni watoto tu giant england ni Man u , liver, chelsea na city[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu unaongea upo serious ? Chelsea na city giant kwa Washika Bunduki?Arsenal ni watoto tu giant england ni Man u , liver, chelsea na city[emoji3][emoji3][emoji3]
Yamekuwa hayo tena saiv? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hii defence CL tutaendelea kuisikia kwenye Bomba ...