verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Foden ana maajabu gani? Hata mpira kagusa?Tangu kurudi kwa League baada ya World Cup kuisha sijaona maajabu ya KDB
Ngoja tuone leo kama atakuwa vizuri
Nadhani haujaelewa point yanguFoden ana maajabu gani? Hata mpira kagusa?
KDB,Foden,walker,cancelo wote wamedrop kiwango.Tangu kurudi kwa League baada ya World Cup kuisha sijaona maajabu ya KDB
Ngoja tuone leo kama atakuwa vizuri
Yan hamna mipango kabisa tunacheza ilimradi tu.Nyie jamaa mmechoka sana
Yani ni kama mnatafuta sare tu leo, wachezaji hawakimbii kabisa
Wewe arsenal?Huu mpira wenu ndo mnadhani mtaifunga arsenal?
Tunachija mtu kulingana na alivyo kuja acha tumalize kwanza lililo mbele yetu kwa sasaHuu mpira wenu ndo mnadhani mtaifunga arsenal?
Mpo slow sana kwenye kuutembeza mpira, hamna chances za maana mmecreateTunachija mtu kulingana na alivyo kuja acha tumalize kwanza lililo mbele yetu kwa sasa
Ni kweli but 2nd half tunakuja na mshike mshike nguo kuchanika.Mpo slow sana kwenye kuutembeza mpira, hamna chances za maana mmecreate
Kweli tangu ile match dhidi ya EvertonWe don't deserve premiur league for sure ...!
Another 0 shots on target HT
Niliwaambia, first half mpira ulikua hautembei kabisaNi kweli but 2nd half tunakuja na mshike mshike nguo kuchanika.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app