My take: Nilaisi kudondokewa na embe Tanzania kuliko Kenya. Ludewa Songea kuna mto mmoja una dhahabu kwa juu. Serikali ilibidi ikazungushie fence. Mkoa wa Ruvuma una madini mengi yaliyoko kwa juu. Matemanga ina madini simchezo.
Full story and how it was sold.
Full story and how it was sold.