pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #41
I think that discourse is for another thread. I just want to highlight the history and facts about the Mau Mau in this thread. Stay tuned for more.Good history, what is Kenya doing for these Worrier's families today?
Then they died poor after Jomo Kunyatta betrayed them after independence. U r pathetic as u have nothing to brag of as far as African Liberation is concerned!
Any current info about those communities in Iringa?Some Mau Mau moved to Tanzania and settled in Iringa Region where they have descendants Mungai, the Kamnde, Njau, Mbatia clans in the northern province of Tanganyika.
Where are your freedom fighters or they were busy making children in their matrimonial bed?
Hao freedom fighters ama wavuta bange tu ambao walikuja badae kuendeleza wizi wao na uporaji ardhi hapo Kenya huku tunajivunia wakina Mkwawa chuma cha kihehe hadi wajerumani wenyewe walitii wakabeba hadi fuvu la kichwa chake wakaenda nalo kwao na wala watu wake hawakuja kua waporaji ama wezi baada ya uhuru kama hao wavuta bange wakikuyuWhere are your freedom fighters or they were busy making children in their matrimonial bed?
Upussi nyie mlimilikiwa na wajerumani kisha baadaye uingeraza yaani mlifanywa shamba la bibi zama zile.Hao freedom fighters ama wavuta bange tu ambao walikuja badae kuendeleza wizi wao na uporaji ardhi hapo Kenya huku tunajivunia wakina Mkwawa chuma cha kihehe hadi wajerumani wenyewe walitii wakabeba hadi fuvu la kichwa chake wakaenda nalo kwao na wala watu wake hawakuja kua waporaji ama wezi baada ya uhuru kama hao wavuta bange wakikuyu
Kuna watu kwenye historia ni zero. Nashindwa kuelewa anaongea kuhusu Mau Mau gani hiyo, ambayo ilikuwa baada ya Kenya kupata uhuru.Upussi nyie mlimilikiwa na wajerumani kisha baadaye uingeraza yaani mlifanywa shamba la bibi zama zile.
He is trying to create an delusional History where there was non.Kuna watu kwenye historia ni zero. Nashindwa kuelewa anaongea kuhusu Mau Mau gani hiyo, ambayo ilikuwa baada ya Kenya kupata uhuru.
Nyinyi wazungu huko wakafanya geto lao kabisa hadi sa hivi wanajidai kwenye hako kageto wakati wenye nchi mnataabika huko kwenu walikuja ku settle kabisaaa huku mjerumani alikaa miaka kadhaa tu na alivyotoka nchi ilikua tu protectorate chini ya muingereza hawakutaka kutibuana na watu wa huku walishaona mjerumani alichofanywa na ndo maana hata hatukuhangaika kupata uhuru ila huko waliwaona wachumba kabisa hadi wakaamua kuja kukaa hukohuko kabisa hadi leo wanatesaUpussi nyie mlimilikiwa na wajerumani kisha baadaye uingeraza yaani mlifanywa shamba la bibi zama zile.
Ipo kwan hadi leo hawapori hao na si wezi?? Kikundi cha wavuta bange tu hikoHe is trying to create an delusional History where there was non.
Haohao wavuta bange wenu ndo waliokuja kujirundikia mali na kupora ardhi bwana wenu wakizingu alivyowapa mwanyaKuna watu kwenye historia ni zero. Nashindwa kuelewa anaongea kuhusu Mau Mau gani hiyo, ambayo ilikuwa baada ya Kenya kupata uhuru.
Baada ya hayo yote wakawafanya shamba la bibi hadi leo.Nyinyi wazungu huko wakafanya geto lao kabisa hadi sa hivi wanajidai kwenye hako kageto wakati wenye nchi mnataabika huko kwenu walikuja ku settle kabisaaa huku mjerumani alikaa miaka kadhaa tu na alivyotoka nchi ilikua tu protectorate chini ya muingereza hawakutaka kutibuana na watu wa huku walishaona mjerumani alichofanywa na ndo maana hata hatukuhangaika kupata uhuru ila huko waliwaona wachumba kabisa hadi wakaamua kuja kukaa hukohuko kabisa hadi leo wanatesa