Andika kwa lugha tamu ya kiswahili, hvi hujui kuwa kiswahili ni tunu ya taifa? Unadhani ukiandika kwa kiingereza ndo tutakuona unajua kuchambua mambo. Penda chako kwanza ndio utaweza kukithamini na kukitumia kwa maendeleo yako. Wamekufanya umependa lugha yao ukadharau yako, vivyo hivyo wamekufanya umependa nchi zao na ukadharau yako, Unashtuka wakati wao tayari wanabeba lugha yako na nchi yako, bado kidogo utajikuta unaish angani/hewani, kwani watachukua ardhi yote na kwenda nayo kwao, halafu watakuzuia usiende kwao