Detective unaonaje tukiunganisha nguvu pamoja?
Maana na mimi ni mwenzio kama hujui..lol
nimeishi tanga tokea nikiwa na miaka 9
Huyo hata sina mazoea nae namuanzia wapi? Bora huyu home boy japo naye kuna siku tunakuwaga hatuivani kabisa.
Detective unaonaje tukiunganisha nguvu pamoja?
Maana na mimi ni mwenzio kama hujui..lol
LOL..
Karibu detective.. Mpaka hapo naona wewe tayari utakuwa na majina kadhaa kichwani..
hhhaaaahhaaaaaaaaaaa nimecheka kufa
siuzi na sitoi bure akuuiu
LOL..
Karibu detective.. Mpaka hapo naona wewe tayari utakuwa na majina kadhaa kichwani..
Ok poa. Mkimpata huyo mtuhumiwa anaowavalisha wanaume shanga mpaka wanaishia kufungua turbo mniPM tafadhali,Over..
Mnaunganisha nguvu zipi nyie!
hahaha nguvu kazi.. Mpwa Pdidy itakuwa ndie alikuwa anamlingishia silent killer picha alizotumiwa wasapuMnaunganisha nguvu zipi nyie!
Usijali ila na wewe sio ukae kizembe tu ukisubiria ripoti nawe ujishungulishe kidogo.
hahaha nguvu kazi.. Mpwa Pdidy itakuwa ndie alikuwa anamlingishia silent killer picha alizotumiwa wasapu
Sijaambulia hata jina moja!Vipi wewe mwenzangu maana mimi mgeni kidogo humu.
Ndio tuianze kazi kimyakimya sasa..
teh teh....