The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

A true silent killer never draw attention to himself, and you'll never know when they're moving, utakuta tu manyoya kama una bahati na unahusika kwa namna moja ama nyingine.


So huyu hastahili kuwa labeled Silent Killer, alitaka tu attention na anaipata so far.
 

yeah for sure homie...
 
My dear friend,hakuna anayenijua JF hii zaidi ya my Mdakuzi! Huyu pekee ndiye anayenijua in and out!
Kwahiyo hapa niko kutafuta umbea tu maana kama ni viunzi nishaviruka sana huko PM!

best nnakula wakianza nshtue
 
Last edited by a moderator:
My dear friend,hakuna anayenijua JF hii zaidi ya my Mdakuzi! Huyu pekee ndiye anayenijua in and out!
Kwahiyo hapa niko kutafuta umbea tu maana kama ni viunzi nishaviruka sana huko PM!

Kwa hiyo mtu akikuPM ina maana anaomba mechi? Jamani kwani humu MMU hamna urafiki wa kawaida?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa hakuna bhana kama una kaahsante Airtel tuu na cash lazima un'goe.

Pesa mbele kama tai sio...

Nilivyomsoma lara vizuri ina maana hao ambao wako mentioned kwenye uzi wake ndio wachache kati ya waliopona.. Maana kama wangetajwa kwenye hiyo autobiography ya mchizi asingewarudia hapo..

Ngoja detective niingie kazini mpaka story inaisha nitakuwa nishawajua wahusika wote..
 

Detective unaonaje tukiunganisha nguvu pamoja?
Maana na mimi ni mwenzio kama hujui..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…