The more u hate the more love?

vivimama

Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
50
Reaction score
1
Habari wana jamvi.

Nisaidieni hili jamani, hivi inakuwaje mtu anamuonea wivu ex wake?
Hii nimeiona etremely kwa rafiki ya ngu mmoja wa kiume ambaye ni muda kitambo alimwacha msichana wake tena kwa kashfa na matusi akidai hampendi wala hamtaki tena.
Ajabu jamaa hata akisikia mdada yupo karibu na mwanaume mwingine anakuja juu ile mbaya na anamchunga zaidi ya dadaake ama mkewe!!
Binafsi nashindwa kuelewa inakuwaje!!!!!
Au ndo ile walosemaga wenzetu----------THE MORE U HATE THE MORE LOVE?

mapenzi yangu
 

Mi nadhani ndio hiyo hiyo hapo kwenye bold.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…