The Moroccan National Team Continues It's Preparations To Meet Tanzanian side

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
19 November 2023

Dar es Salaam, Tanzanie

Jijini Dar es Salaam timu ya taifa ya Morocco inaendelea na mazoezi ya utayari kukabiliana na timu ya Tanzania Taifa Stars

المنتخب الوطني يواصل استعداداته للقاء تنزانيا​


View: https://m.youtube.com/watch?v=OUTYAaC_-Yk
Timu hiyo ya Africa ya Kaskazini iliyosheheni nyota kibao wanaochezea klabu zilizo ligi kubwa ulaya wanaichukulia mechi ya kesho tarehe 21 November 2023 itakayopigwa saa nne usiku, itaamua kama watakuja ibuka kama washindi wa kundi lao na kujipatia tiketi ya kushiriki kombe la Dunia kwa mara nyingine baada ya kufanya vizuri nchini Qatar katika finals za kombe la dunia.

View: https://m.youtube.com/watch?v=O38YZGNQc00


  • 11/20/2023


Source : Fédération Royale Morocaine de Football
 
20 Novembre 2023
Dar es Salaam, Tanzanie

آخر حصة تدريبية للمنتخب المغربي قبل لقاء تانزانيا​

Mvua kubwa haikuizuia timu ya Morocco kutaka kuuzoea na kuufahamu uwanja wa Benjamin Mkapa ktk matayarisho ya mwisho kwa mechi ya kesho


View: https://m.youtube.com/watch?v=QEai9vAdG5Q
 
Nyota zitaangushwa Mkapani leo
 
21 November 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Simba wa milima ya Atlas Timu ya taifa ya Morocco wakiondoka mara baada ya mechi, usiku huu uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere JNIA Dar es Salaam. Morocco wameshinda kwa mabao mawili bila majibu ktk michuano ya kuwania tiketi kushiriki Kombe la Dunia 2026 Marekani ya Kaskazini

View: https://m.youtube.com/watch?v=GBFeebF5H94The Lions leave Dar es Salaam after defeating Tanzania two nil in the qualifiers match for the 26th World Cup in America.

Shouf TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…