The Most Beautiful Assist Ever?

Other Guti's magical assists. He's a genius to most true Madridistas. Salamander anajua namaanisha nini.

 
Last edited by a moderator:
THat dude was a maestro of romantic football..
Alikuwa anacheza kama hataki vile...
 
THat dude was a maestro of romantic football..
Alikuwa anacheza kama hataki vile...

Acha kabisa, alikuwa akiamua kucheza ni balaa. Kuna goli nadhani aliwahi kuwapiga Valladolid msimu sikumbuki vizuri, Bernd Schuster nadhani ndio alikuwa Coach, aliishia kushika kichwa kwa mshangao.

Alikuwa anapiga rulers za hatari, sijawahi kushuhudia kwa yeyote mwingine.
 


Kaka wapiga rulers still wapo bhana..in the mean time Andres Iniesta namkubali..jamaa anajua kupiga mstari..he's truly a sketcher/painter like Michelangelo painting Sistine Chapel..
Ronaldinho was my best..anapiga pass kulia huku anaangalia kushoto..he was some kind of a magician though hakudumu muda mrefu kwenye peak..
 
Dinho na Iniesta ni mafundi sana, siwezi hata kuwalinganisha na Guti. Ila rulers were Guti's forte, na ule mguu wake wa kushoto. Jamaa alikuwa anazinyoosha even from his own half. Hizo pasi za kupiga bila kuangalia pia alikuwa anazifanya sana.

Hakuwa consistent wala disciplined enough, hiyo ndio ilikuwa shida yake kubwa.
 
Ozil kidogo anajaribu kumfikia
 
Ozil kidogo anajaribu kumfikia

Duhh..am very sorry but Ozil has never impressed me kwa level hizo
Ni fundi wa level ya kawaida sana..Real Madrid na Barca nafikiri ndio wameweza kumiliki
pass masters throughout..anza enzi za Rivaldo,Luis Enrique,the dutch gang ya kina Gullit,Davids,de Boers,Rijakaard,Pep na Redondo,Suker,Guti,Seedorf at Los Blancos..
 

Ozil wa 2010 World Cup, Real Madrid na Arsenal mwanzoni alikuwa mzima sana. Saivi naona kama ameridhika sana kutokana labda na timu aliyopo haiko ambitious. His attitude saivi haitoi matumaini.
 

Dah,Mkuu Kibolibo umenikumbusha mbali sana enzi za fundi Rivaldo Ferreira na Redondo bila kumsahau fundi mwingine Gaziaka Mendieta but nashangaa na kustaajabu sana Dunia imewasahau mapema sana hawa mafundi wawili Redondo na Mendieta.
 

chuku muda wako angalia assist za Ozil halafu kuja hapa kuna moja alimpa sanchez katikati ya watu watano sio unabisha inaonekana hata mechi huangalii
 

Mkuu correction, Ruud Gullit hajawahi kucheza Spain.
 
Mkuu correction, Ruud Gullit hajawahi kucheza Spain.

Yap,Samahani kwa milsleading I meant Kluivert and all that Dutch connection iliyopita Barca kuanzia in the 90s and early 2000s kuanzia defenders akina Michaeil Reiziger,de Boers brothers et al....
 
chuku muda wako angalia assist za Ozil halafu kuja hapa kuna moja alimpa sanchez katikati ya watu watano sio unabisha inaonekana hata mechi huangalii

Mkuu..siko hapa kukubishia,tunashea thread ya mkuu Paulo,binafsi Ozil he was better of akiwa Real Madrid na World Cup ya 2010..baada ya hapo binafsi hanivutii..
Real Madrid ujue kabisa ina very strong composure kwenye midfield,kipindi yupo Xabi Alonsom,Khedira walikuwa nyuma yake..so possibility ya better performance ilikuwa ineivitable..
Jiulize hapo alipo Arsenal anapata msaada kama huo na wa kiwango hicho..??
Call a spade a spade,level ya players wa Real Madrid in terms of individual skills wako better of than Arsenal.hilo pia linachangia performance ya baadhi ya watu kuonekana mafundi wakicheza nao..
Ukiwa unacheza na pass masters kama Iniesta,Mendieta,Pirlo,Ronaldinho,Xavi au enzi za kina Rivaldo,Leonardo,Deco..lazima utaonekana best finisher,,kumbuka Eto'o wakati anacheza na Ronaldinho.?
Note: Haya nu maoni yangu..so una haki ya kuyaheshimu pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…