Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Happy birthday shansarie,mdumu miaka 800 na points zake wewe na mumeo kiwatengu.... Natamani kuja kwenye party ila Nyani Ngabu kanifichia gauni langu
Hivi kiwatengu toka lini mie nikawa wa coastal region?Na nilikosa ruhusa ya kuja maana mume hakuwa na taarifa so nilizuiwa kutoka next time mualiko utumwe kwa mr&mrs
Better late than never,my dia shansarie I wish you maisha marefu na yenye baraka tele.
teh huo ujumbe umepanda daladala nn naona haufikiii
teh huo ujumbe umepanda daladala nn naona haufikiii
Baby ushamka tuu.?...! Niko gym hapa napasha kidogo
ndio twaamka saivi ful kuchoka...chezea shughuli za usiku..
Honey Faith mi huwa nadhania uko IFM...
Anyway sasa kwenye mr and mrs...
nimweke nani? utafiti au Rogie? please nitolee huo utata.
oops!! kumbe ulikuwa una maana hiyo? its ok then