Habar zenu, yeyote aliyeko/ anayeishi morogoro mwenye wazo zuri na bora la biashara lakin mtaji wake hautoshi kutekeleza wazo hilo na soko la biashara hiyo ni la uhakika,japo soko la biashara hiyo sio lazima liwe mahali anapoishi , anitumie private sms tujadili kwa pamoja kuangalia uwezekano wa kuingia ubia. Tafadhali naitaji watu seriouz na maisha waliotayari kuzikabili changamoto bila kukata tamaa haraka.