Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Kutokana na kitendo cha Jana nawaongeza:
1. Lyatonga Mrema
2. Ibrahim Lipumba
3. James Mbatia
Wakuu, huyu mtu ni nani, na ana influence gani kwa wanasiasa?
nimekutana na docs zikimtaja taja sana,
Bandika hapa hizo docs ulizokutana jina la Maria Kejo.
nimejaribu ku google mkuu lakini naona katika hizo post anatajwa tu pia, sijaona yenye details zaidi kuhusu jina hiliKwa jibu jepesi google "Maria Kejo jamiiforums" au "Maria Kejo EPA" halafu soma sana selection utakazopata.
Alijadiliwa sana miaka ya 2007, 2008 na 2009.
Napita tu.
Rithwan KikweteThrough proliferation of information and besides general current affairs, right now we are aware and know a lot about loved people, influential people, hated people, mafisadis, and many others in our country.
We read a lot about people with close ties to government officials or indeed, themselves being government officials. Watu ambao wako kwenye wimbi la maskendo mengi yahusianayo na ufisadi hapa Tanzania na kuwa pingamizi kubwa ya maendeleo kwa wengi.
Well, on this thread let me just say enough reading has been done so far, and it's about time we made reference to our reading and understanding. Let's name one person - only one person whom from what you read and understand, you deem most corrupt and most greed in Tanzania and her history. Please Name ONE, NO EXPLANATION NECESSARY - JUST ONE NAME. Thank you!!
I'll kick start:
- Rostam Aziz (Hon.)
Kwa maoni yangu na bila shaka yoyote mtu huyo ni fisadi Mkapa. Huyu hakuipa heshima kabisa nafasi kubwa tuliyomkabidhi Watanzania na kuigeuza Ikulu yetu 'his business premises' Pia alitumia wadhifa wake kutuibia Kiwira na kujipangia bei ya shilingi 700 millioni ambayo ni 17.5% ya thamani ya mgodi huo. Pia alitumia wadhifa wake kulazimisha TANESCO isaini mkataba wa kifisadi na ambao hauna maslahi kwa Watanzania ambao utawagharimu Watanzania shilingi 326 billioni au kwa maneno mengine mkataba huo utamlipa fisadi Mkapa shilingi 146 millioni kwa siku. Pia kuna ufisadi aliofanya katika kuuza nyumba za serikali, kununua mahosteli pale Dar, kusaini mikataba ya madini isiyokuwa na maslahi kwa Tanzania na kuamua kuifanya siri hata kwa wabnge. Kwa hiyo kwa maoni yangu the most CORRUPT and GREED person in Tanzania is FISADI Mkapa.
lakjini fisadi mkubwa kuliko wote ni WATANZANIA ambao; wanawachagua mafisadi, wanawavumilia mafisadi, wanawatetea mafisadi, wanawakumbatia mafisadi... yaani wanafanya kila kitu kuhakikisha mafisadi wanaendelea na ufisadi wao