The Most Famous ID In The Forum.

Najiona MIMI...internationaly...overtakn walee...i see no body else...afterroll "I Dont wanna be FAMOUS.! I JUST Wanna Be RICH" makn millions an buyn some acres...
 
Nadhan kinachomponza mpaka mkapata attention ya kumfatilia ni style ya kubold maandishi yake bila hivyo msingemfahamu
 
Hapa kwenye hii thread itakuwa anasoma tu comments anatucheki tunavyomjadili nadhani atakomenti tu baadaye

Heshima yako popote ulipo jove
 
Ngoja aje naona hapa kachelewa kidogo mi mwenyewe huyo jamaa ananishangaza mno nyuzi nyingi wakwanza Ku reply .Nahisi atakuwa ni moja ya maajabu ya jf
Hapo hata mimi ananishangaza....kuna muda huwa nahisi ni computer maana sio kawaida asee..
 
Nadhan kinachomponza mpaka mkapata attention ya kumfatilia ni style ya kubold maandishi yake bila hivyo msingemfahamu
No way hata angekua anaandika kwa pencil jamaa ni phenomenal ....mimi binafsi nahisi joseverest ni Moderator mkuu yaani anaoversee kila jukwaa na ni boss wa akina paw invisible na wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…