MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Embu nifundishe ku-bold mama ake naniliu
Ngoja aje naona hapa kachelewa kidogo mi mwenyewe huyo jamaa ananishangaza mno nyuzi nyingi wakwanza Ku reply .Nahisi atakuwa ni moja ya maajabu ya jf
No way hata angekua anaandika kwa pencil jamaa ni phenomenal ....mimi binafsi nahisi joseverest ni Moderator mkuu yaani anaoversee kila jukwaa na ni boss wa akina paw invisible na wenzake
Leo kachelewa wapi huyo mkuu
Cc@Joseverest
No way hata angekua anaandika kwa pencil jamaa ni phenomenal ....mimi binafsi nahisi joseverest ni Moderator mkuu yaani anaoversee kila jukwaa na ni boss wa akina paw invisible na wenzake
Inabidi tumkumbushe awe anapitia na huko ila tuzo za kila mwaka asisahaulikeAisee sijawah muona jukwaa la mapishi mkumbushen na huko awe anapita pita
Sure sababu there is no way mtu akawa on point kiasi hiki big up mkuu joseverest....kama zimamoto wangekua kama wewe majanga ya moto yangekua historia sababu kabla moto hujawaka wangeshafikaMkuu umenishawishi nikuamini 100% ulichokinena.
Asante mpenzi cesilia [emoji120]Kweli umeamua sio kwa mahaba hayo hongera saaana
Watu wengine wanamkubali wengine wanamkataa, sijui msela ana nini etiMmmh hzi siku mbili tatu joseevarist kapata promo naona anaanzishiwa uzi si mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh inaonekana kaenda mchepuko nn