kweli chuo kimepwa charter juzi na prezidar bado gamba la motomoto kabisa tukutane kishore kamanda pale kuana bar moja opp. na sos wanatengeneza vitu kwa mitaa hiyo hamna.

I mean sijahamisha kitu toka ndani ya chumba!!
Nimesoma pale! Nimemaliza mwaka jana nilikua nimepanga ngara! Anaetaka geto complete aniinbox!!