Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Kuna movie moja niliiangalia miaka ya 90 ikihusisha mapambano makali yenye mbinu za hali ya juu kabisa za kijeshi.....
Ilifikia hatua Staring wa hiyo movie ambayo nimesahau jina lake alitamka mameno yafuatayo kwa vijana wake.....
"The Mountain Is High, The Moon Is Small, The Rock Appeared, May Be Water Falls"
Vijana wake walitazamana na kujiuliza maana ya hayo maneno ya staring wao bila kupata majibu halisi kwa wkt ule. Lkn baadae ikaja kugundulika kua staring alimaanisha yafuatayo......
"Safari ni ngumu, Njia ni Ya Kupita Ni Ndogo, Kuna Jeshi Imara Mbele Yetu, Damu Inaeweza Kumwagika"
Mwisho wa kunukuu....
Nimeandika haya hasa baada ya kufikiria kwa kina sana safari ya Tundu Lissu mpaka wakati huu....
Mungu awatembelee na kuwaonya tume ya uchahuzi NEC, Jeshi la polisi, na vyombo vingine vya dola vitende haki kuhakikisha hakuna WATER FALLS.....
Nawasirisha na kutahadharisha!
Maendeleo Yana Vyama Lakini Udikteta Hauna Chama...