Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Uniletee basi zawadi ili nimkoleze mbabes kwenye valentineYap, Bond Girl, Birkin Brown, Love Liberty, am in.
Na color ya wine pia, sijaona hapa lakini, au ndio hiyo Glastonberry.
Bond Girl na hiyo complexion ni sawa sawia, not too little, not too much. Just perfect.
Wa 1, wa 5 na wa 9 ndio wanatamanisha....bisha!!Kwa wale warembo wenzangu wenye ngozi nyeusi kama yangu au wale wenye weusi wa maji ya kunde hizi ndio lipstick zetu zinazotufaa zaidi na kutupendeza.
View attachment 466025
Uniletee basi zawadi ili nimkoleze mbabes kwenye valentine
Haha ngoja ninunue lita 10 kabisa, maana na mimi kimenianza nowKwakweli nahitaji asali kama lita 5hivi ndio kitulie.
Kwakweli nunua na yako maana hiyo lita 5 haitotutosha wawili, bado nakusubiri wewe, nakufuata hapo nyuma nyuma kama fisi vile.Haha ngoja ninunue lita 10 kabisa, maana na mimi kimenianza now
Hivi hilo neno hapo mwishoni sio tusi? Hebu nitafsirieni lina maana gani.Aww!, thanks boo!
[emoji120] [emoji173] [emoji8]
You're welcome my BOO[emoji257][emoji8][emoji173]️
Kwakweli.Hiyo bond girl matata sana
Hahaha kwani kuna og na fake?Kwakweli nunua na yako maana hiyo lita 5 haitotutosha wawili, bado nakusubiri wewe, nakufuata hapo nyuma nyuma kama fisi vile.
Ila sitaki unizuge na wapita njia, namtaka og kabisa.
Ndio, nimechoka na fake zako, its abt time uthubutu kukutwa na bwana og.Hahaha kwani kuna og na fake?
Hahaha relax basi khaa. Itabidi uniletee daddy og piaNdio, nimechoka na fake zako, its abt time uthubutu kukutwa na bwana og.
Nizuge tuDady og si ndio Kaboom? Au una dady mwingine dota?
Nakusalimu jiraniAww!, thanks boo!
[emoji120] [emoji173] [emoji8]
Itakuwa poa sanaHalafu hii kama ya ukweli ukweli hivi