The must have lipsticks for black women

Salama jirani?!, naona leo familia mko pamoja.
Inapendeza sana. [emoji2] [emoji8]
Jirani si unajua mi na familia yangu ni wapelelezi wa kujitegemea??..Basi tumejaribu kutrace jamvini kuona mwanzo wa haya mahusiano lakini hatujauona..Douta akasema haya yatakuwa yameanzia Pm..Na mzazi mwenzangu akaongezea kwa kusema,Kama yameanzia pm basi haya yatakuwa Mapenzi Mubashara

cc espy Heaven Sent
 

Hahah!, jirani mbona umeniweka kwenye kona, hebu ngoja kwanza...[emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…