The new chapter between Diamond Platnumz and Wema Sepetu

Hii imejidhirisha baada ya mwanamuziki huyo kupost picha katika ukurasa wake wa instragram akihamasisha jamii kuhudhuria katika party ya black tie itakayofanyika tar 9 july party ambayo inamuhusisha Christian bella, Wema sepetu pamoja na Idris sultan.

Hili ni jambo jema sana kufanyika kwa wasanii wetu kwa sababu maendeleo yakipatikana ni ya kwetu sote.
 

Attachments

  • 13627131_128235487606714_3342137183370108124_n.jpg
    37.9 KB · Views: 102
Hahaaaa hawa watu watarudiana tu soon becoz they real love each other huo ndo ukweli maskini zari
 
Akisapoti wema mnasema ni kiki...
Akisapoti domo mnasema jambo jema..... acheni double standards...

Ila hongera zao
Pole kwa duller square...... kibarua kinaota nyasi sasa...heri ukalime alizeti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…