Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 387
- 485
still wana njia ndefu sana kwe sekta hio.....ukizingatia sehemu muhimu kama engine na landing gears wanategemea kutengenezewa na US&FRENCH firms....hata russia ambayo iko well advanced kwe swala zima la technology wameshindwa kuwachallenge boeng na airbus,kwa mtazamo wangu wachina watapata shida sana mpk kuwa challenger wa kweli wa west kwe sekta hiiKule China hii leo ndege yao ya kwanza ya abiria imefanyiwa majaribio ikiwa na abiria 70 je unadhani uthubutu wa China katika sekta ya anga itatingisha makampuni makubwa kama Boeing na Airbus pamoja na bombardier kutoka ulaya na marekani au Africa tu ndio watanunua ndege hizo maana ni cheap na jee itaweza kuyashawishi mashirika makubwa ya ndege kutoka ulaya na marekani lakini pia Asia, Mimi sijui tulijadili hili wadau.
Mkuu ni kweli, sidhani wanaweza kulipiku soko la nchi hizi. Wazungu washenzi tu hawana maana. Wao wanaamini kuwa ni wao pekee ndio wanaweza. Ukiwa wewe siyo Mzungu hata uwe na innovative idea za namna gani, lazima watadharau tu. Lakini akiwa mzungu mwenzao akiintroduce idea ya kutengeneza Kata ya ceramic watamuona ni creative na innovative. Ndio nature ya wazungu hiyo.Wana kazi kubwa ya kufanya ili kulipiku soko la ulaya na marekani, itawapasa wafanye sana marketing research. Lakini wamejitahidi sana kufikia hatua hii, nimeona habari imewachukua miaka 14 hadi kuikamilisha ndege hii