The new Landrove Defender

Aisee hawa jamaa wanatutamanisha kwelikweli.
Ngoja nichek features zake Kwanza
 
If thats so yale matumiz yetu kwa defender yatapungua sana... Maana haina sura ya kazi tena
Gari almost zote mpya zina umeme na teknolojia kubwa sana.

Nadhani ndio maana hata ile ya mwanzo wameamua kuachana nayo.

G Wagon wamebaki na muundo uleule ila humo ndani wamejaza umeme wa kufa mtu.
 
Kuna dealership mkuu. Pale CMC Motors.
Tofauti kabisa na magari ya Toyota, Nissan, Mitsubishi (Japan) ukiua spare unaenda dukani na kuhudumiwa. We Tz nzima tukiua spare mpaka kwa dealer ?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…